Anza na Sielewi kwanini...

Sielewi kwa nini hamuelewi kwa nn
 
Sielewi kwanini upinzani unaonewa hivi kisiasa
 
Andika post ukianza na maneno "Sielewi kwanini....."

Mfano mimi naanza "Sielewi kwanini wanaume wenye vitambi wanapenda videmu vyembamba"

Haya wakuu, twende kazi.........
Sielewi kwa nini hii nchi inaendeshwa na dikteta uchwara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…