Anza siku yako na Bwana

Mimi ni mjinga kidogo
Unapo sema BWANA umemanisha mungu
Hapa ndipo ujinga wangu ulipo
Mungu yupi ?
Anaitweje?
 
Ndio. BWANA.

"Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
FIL 2:9-11.

(kila goti na kila ulimi): mkuu, si unalo goti? si unao ulimi? Huu ujumbe unakuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…