Anza weekend yako na RNB kali za kukuliwaza

Anza weekend yako na RNB kali za kukuliwaza

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
501
Reaction score
788
Natumai hamjambo wadau wote wa jukwaa hili. Leo tena nakukaribisha ujionee rnb tatu kali zitakazo ifanya uanze wkend yako vizuri.

Track ya kwanza ni ya New Edition iitwayo ONE MORE DAY

Track ya pili ni THE ONLY ONE FOR ME BY BRIAN MCKNIGHT

Track ya tatu na ya mwisho kwa situ ya leo ni I NEED kutoka kundi liitwalo TGT, Yaani Tyrese, Ginuwine na Tank.

Wkend Njema.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nitazicheki kesho ziniliwaze maana mimi ni mdau wa hizo mambo.
 
Naipenda ya brian back at the one lakin imekisekana
 
Natumai hamjambo wadau wote wa jukwaa hili. Leo tena nakukaribisha ujionee rnb tatu kali zitakazo ifanya uanze wkend yako vizuri.

Track ya kwanza ni ya New Edition iitwayo ONE MORE DAY

Track ya pili ni THE ONLY ONE FOR ME BY BRIAN MCKNIGHT

Track ya tatu na ya mwisho kwa situ ya leo ni I NEED kutoka kundi liitwalo TGT, Yaani Tyrese, Ginuwine na Tank.

Wkend Njema.

No school like Old school.
 
Last edited by a moderator:
mkuu kuna ngoma moja inaitwa thank you for loving me sijui kaimba nani naimaindi sana ni kama blues flan ivi
 
Uyo brian bado yupo aisee kuna ngoma moja naipenda sana back at the one. Shoulda woulda coulda. Shoud stay na ........
 
Back
Top Bottom