Natumai hamjambo wadau wote wa jukwaa hili. Leo tena nakukaribisha ujionee rnb tatu kali zitakazo ifanya uanze wkend yako vizuri.
Track ya kwanza ni ya New Edition iitwayo ONE MORE DAY
Track ya pili ni THE ONLY ONE FOR ME BY BRIAN MCKNIGHT
Track ya tatu na ya mwisho kwa situ ya leo ni I NEED kutoka kundi liitwalo TGT, Yaani Tyrese, Ginuwine na Tank.
Wkend Njema.