Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Angalizo!
Huu ni mfumo mpya kabisa wa uanzisha na uendeshaji wa biashara na uko katika majaribio.Ukishiriki katika mfumo huu basi fahamu kwamba utakuwa katika majaribio.Hata hivyo mfumo huu umewekwa katika mazingira ya kuhakikisha kwamba mjasiriamali hapati hasara au kuchukua hadhari isiyo ya lazima.
Jinsi Mfumo unafanya kazi
Mfumo huu ni kwa watu ambao wanayo nia ya kuwekeza ila hawana muda au ujuzi katika kuanzisha na kusimamia biashara kutokana kutokuwa na muda au uzoefu.Katika mfumo huu mmiliki atahusika katika Masuala yafuatayo
Kufanya maamuzi yote yanayohusika na utoaji wa pesa na matumzi ya pesa.
Atahusika na gharama za mafunzo,usajili,leseni na kodi.
Atakuwa ndiye Mkurugenzi Mkuu na sisi kama washauri wake tutampatia mtu mmoja ambaye atakuwa ni Account Manager Wake na Business Development Manager Wake.Mahitaji mengine ya Watumishi yatakuwa kwa kuzingatia mahitaji na wakati.
Mjadala wa aina ya biashara,mfumo wa usimamizi,bei utafanywa kwa mfumo shirikishi yaani Mmiliki atafanya uamuzi wa mwisho.
Faida za mfumo huu;
Unakuwezesha kumiliki na kuendesha biashara bila kuathiri shughuli zako za kila siku.Unakupunguzi gharama za uendeshaji.Unakupatia fursa ya kujifunza juu ya namna za kuendesha na kusimamia biashara yako mwenyewe.
Unafanyaje ili kushiriki
Tuma email fupi kwenda masokotz@yahoo.com kisha utapewa maelekezo zaidi kwa kuzingatia mahali ulipo,gharama zote za programu na fursa zilizopo.
Zingatia kwamba mfumo huu ni wa majaribio na hautapokea watu wengi na utatumia mfumo wa first come first served.
Nawatakieni Asubuhi Njema.