Anzisha kiwanda cha sukari kama una mashine ya juice ya miwa

Status
Not open for further replies.

Biashara2000

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
624
Reaction score
548
Habari.

Kama una mashine ndogo ya kutengeneza juice ya miwa, unaweza usiishie tu katika juice ya miwa bali pia unaweza itumia kutengenezea sukari. Demand ya sukari ni kubwa sana na viwanda vilivyopo havitoshelezi soko hivyo wenye mashine za juice au hata wasio nazo wanaweza juanzisha viwanda vidogo au vya kati vya kutengeneza sukari. Cha msingi ni kuwa utaongeza mashine chache tu ndogo ambazo hazina gharama kubwa. Km tayari una mshine ya juice ya miwa unahitaji tu kuongeza kati ya dola 2000 - 5000 ya kuongezea mashine ndogo chache km Sugar Sinter, Crystallizer, Evaporator nk

kwa wale wote wenye mashine na biashara za kutengeneza juice ya miwa au wenye mpango huo basi karibuni tuwaandikie mchanganuo na project write up ili uweze kubadilisha biashara yako ya juice ya miwa kuwa kiwanda cha sukari. Kulingana na capacity ya mradi unaotaka kuwa nao, write up hii tunaiandaa kulingana na mazingira ulipo kwa kuanzia Tsh. 300,000/=

Kiukweli mpaka sasa tumemwandalia document mtu mmoja tu km majaribio na ikakubali. Jamaa huyu yuko bukoba. Km mtu huyu imekubali tunaamini kwa mtu yoyote anayetaka anaweza akafanikiwa. Hizo mashine tajwa hapo juu na vifaa vingine vanaagizwa kutoka Philipines na ni vya highest quality. Vinazalisha capacity tofauti tofauti lakini minimum unapata ton 1 per day ya sukari km unazalisha juice ya kutosha.

Km kuna mtu yuko serious na interested unaweza nipigia 0758 308193

=======

Update: Biashara hii siifanyi tena.
 
Kama mnayajua hayo yote why msianzishe na nyie mfaidike
Hah Na mi nilitaka uliza hili swali? Alafu pia sidhani kama ni rahisi kama ambavyo mtoa mada amesema maana miwa inayotengeneza sukari ipo tofauti Na hii tunakula nadhani changamoto ya raw material haitomuacha jamaa salama
 
Uko vizuri
 
Mkuu hicho kiwanda inafaa kiwe jirani na mashamba ya miwa kama kilombero, au hata Dar?
Inahitajika tani ngapi za miwa kuzalisha tani 1 ya sukari?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…