Anzisha kiwanda cha sukari kama una mashine ya juice ya miwa

Status
Not open for further replies.


Kama una idea kwanini wewe usipractice ???
 
Nadhani utapata mashine sawa, tatizo litahamia kupata miwa bora na ya kutosha...sidhani kama ni kila miwa itafaa..labda viwanda hivi viende sambamba na elimu ya kulima miwa yenye ubora kwa maeneo hayo.

Ila nimeupenda huo mpango.
 
Mkuu unaonaje tukifanya business partnership ili hiyo idea na wewe uitekeleze kwa vitendo
 
Kwa uzalishaji huo ji hasara tu, unajua kilo moja ya sukari inahitaji miwa kingapi?
 
Swali lako ni chokonozi. Unataka jamaa afunguke details zote ambazo ameshaonesha hayupo willing kuziweka. Pambana na google mkuu...!!! Nadhani utapata majibu yko.
Haina haja ya kupambana na google, nishapiga kazi TPC mkuu
 
Safi sana, tupe ufahamu mangi!
Mkuu anachokiongea mleta mada hakiwezi kufanikiwa kwa uzalishaji huo.
Ndio maana unaona wenye viwanda asilikiankubwa ya miwa huzalisha wenyewe mashambani na tani chache hununua kwa wakulima.

Wastan wa muwa mmoja una kilo 1.3 ambapo unaweza kukamua na kupata 85% ya juice yake sawa na 1.1kg.

1.1kg ya juice ya muwa ina wastani wa 11% ya sukari sawa na 120g.

So ili upate kilo moja ya sukari inahitaji angalau miwa kumi.

Najua jamaa yeye anaetaka kuzalisha kwa small scale atanunua miwa, tufanye basi wastan wa muwa mmoja ni sh. 200 hivyo atahitaji sh. 2000 kupata miwa kumi kuweza tengeneza kilo moja ya sukari ambayo bei yake ni Sh 2000 kwa 1kg sokoni.

Hapo hujaeka umeme, wafanyakazi, TRA (hapa kuna aina nyingi za kodi), kifungashio na maintainance ambayo ndio gharama kwenye kiwanda cha sukari.

Anyway hata tukisema atanunua miwa hiyo kwa tani kwa bei ya kule ambayo ni Sh 60,000 kwa tani moja.

Tani moja ya miwa hutengeneza average ya 110Kg ya sukari. Hivyo akiuza atapata Sh 220,000 ikiwa kilo moja ni 2000Tsh.

Ukitoa hapo anbkia na 160,000Tsh km faida. Ukitoa gharama za uendeshaji kwenye hiyo 160,000 utabakiaa na negatives kwakua uzalishji wake ni mdogo na hata efficiency ya hizo mashine ni ndogo na nina hakika kwa hiyo mashine haina uwezo wa kuzidi tani moja ya miwa kwa siku.

Kiufupi unakuta kiwandani kwa kilo koja ya sukar kwa bei ya jumla ya sh 2000 kwa kilo wanapata faida ya sh 200 wakitoa kila kitu. Sasa kwakua wanatengeneza millions of tones ndo wanapata faida kubwa.

Lkn kwa small scales huwezi tengeneza sukar na kupata faida.
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Asante
Sa

Asante sana kwa maelezo muhimu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…