Anzisha kiwanda cha sukari kama una mashine ya juice ya miwa

Status
Not open for further replies.

Hiyo dola 2000 - 5000 ni kwa ajili ya mashine tu??
 
Ajabu mtu anakushawishi kufanya biashara ya mabilioni huku yeye anataka laki tatu tu
si ajabu ukishamlipa hiyo laki tatu humuoni tena
 
Lakini wewe hata biashara ya kuingiza mwekundu kwa saa huna! Mitandao bwana kila mtu ana uhuru wa kusema chochote hata km ni upuuzi, Hongera bw Biashara kwa post zako, inawezekana unapata faida km isingekuwa hivyo basi usingekuwa unapost stuff kila wakati

Namuongelea the boss, whatever
 
Mi napenda sana soko huria. Anayejituma na biashara hutoka, wanaotafuta sababu ya kulalamika maisha yao mabovu, huwa wanabakigi hivyo hiyo tu, walalamikaji. Mi napenda sana Capitalism. Inawatenga walalamishi na wasio na direction. Huo ndio ukweli ukatae usikatae
 
Kama mnayajua hayo yote why msianzishe na nyie mfaidike
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hata mi nilitaka niulize hivyo, na huyo wanaodai wamempa document kisha ikakubali itakuwa ni njia tu ya kumuaminisha mtu ili awafate
 
Ni mradi mzuri sana ukizingatia sukari ni hitaji muhimu kwa matumizi yetu ya kila siku. Ila ungeweka documentary ikionyesha yule mwenye mafanikio basi kwa wale wasioamini kama mimi tutaweza kukuelewa kwa haraka.
 
Nimekuwa nikipokea simu nyingi watu wakiulizia jinsi wanavyoweza anzisha biashara ndogo ndogo majumbani kwao za kutengeneza sukari kwa small and medium scale. Mimi ukiacha kuagiza mashine nje kwa anayetaka lkn pia huwafundisha watu wanaohitaji kutengeneza sukari majumbani mwao kutengeneza sukari bila kutumia mashine yaani kwa kutumia tu masufuria makubwa.

Mimi mwenyewe nimefanya jaribio kutengeneza bila mashine na sukari inatoka vizuri. Kwa anayehitaji kujifunza utengenezaji huu haijalishi yuko wapi naweza mfundisha kwa njia ya mazungumzo ktk simu au kumtumia mafunzo hatua kwa hatua na video katika email. Mafunzo haya kwa bei ya mwezi huu ni Tsh. 10000 Tu na km utakuwa ktk maeneo nilipo tunaweza panga ukatembelea eneo langu la kazi

nipigie 0758 308193
 
Tunajua mnauza hizo machine kwa nn msifanyehiyi kuanda business project ni bure kwa wateja mkaongeza mauzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tapeliiii..biashara kichaa hiyo, kuna uhaba wasukari nchini tengeza utajirike fala wwe
 
Upo wapi??
 
SAMAHANI mkuu.. kiwanda chako Cha sukari kipo wp?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…