Anzisha kiwanda kidogo nyumbani

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Habari wakuu.
Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu.
Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi na tano.Pia kina mbinu za ujasiriamali.
Kinapatikana pia katika mfumo wa softcopy ambayo inatumwa kwa whatsap.Bei ni ths.5,000/-
Elfu tano tu.

piga:0713-039875
 

Attachments

  • BIDHAA.JPG
    29.4 KB · Views: 283
weka mfano mmoja wa sabuni ya maji kwanza ili tuone kwa maana wengi ni matapeli........tumechoka kuumizwa............ukiweka hiyo nakutumia buku tano.....
 
weka mfano mmoja wa sabuni ya maji kwanza ili tuone kwa maana wengi ni matapeli........tumechoka kuumizwa............ukiweka hiyo nakutumia buku tano.....
Samahani ,sijaelewa, niweke kitu gani?
 
Njinsi ya kutengenza sabuni ya maji..........Then nakutumia Elfu tano yako ili unipe hiyo Soft copy........
Tazama kiambatanisho
cc@guzman_
 

Attachments

  • sabuni ya maji.JPG
    37.1 KB · Views: 259
Samahan lakn,materials hususan chemicals zinapatikana kwenye maduka gani?
 
Safi sana kila nyumba ikiwa na kiwanda ni vyema sana, mpango wa kuwa nchi ya viwanda naona upo njiani kudhihirika
 
Hili ni jambo zuri, tatizo ni utapeli mwingi. Niliwahi kununua kwa mtindo huu lakini nlichokikuta huko nkaona kweli watu hawako serious.

Siku hizi naingia tu Youtube naokota ntakachopata, mambo yanasogea
 
mamb ni mazuri Sana isipokuw uaminifu tu mkuu buku tano ni ndefu
Ukituma pesa, ndani ya dakika 3-5 hujatumiwa kitabu, unawapigia tigo wanaiblock hela. au unaweza kuja kigamboni,daraja jipya kama una nia.
 
Unao utaalam wa mambo hayo,ili nikikwama mahali unanisaidia?
rejea maelezo juu ndugu yangu, hii ni matokeo ya utendaji wa mikono na sio zile za you tube.Karibu
 
Ni mtaji wa kiasi gani kuanzisha kiwanda cha sabuni ya mche mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…