Anzisha Mtandao wako wa kijamii sasa

Anzisha Mtandao wako wa kijamii sasa

Joined
Jun 7, 2015
Posts
13
Reaction score
5
Majuzi nimetembelewa na PiPiMatch.com nimependa sana kazi wanazofanya,kwani niwatengenezaji wa software na kuziuza kwa bei muruaaaa. Nimependa zaidi offer waliotoa kwa watu wanaotaka kumiliki Social Network.

Kwa wale mnaopenda kuanzisha mtandao wenu wa kijamii (Dating site) lakini mmeogopa gharama kubwa za utengenezaji sasa ni wakati wenu .Pipi.com inauza mtandao wake wa kijamii kwa bei rahisi sana chini ya tsh 300,000/- tu ya kitanzania.

Mtandao huo unaweza kua na faida zifuatazo kwa wale wasio wataalamu wa mambo haya;

1: Utakupa wasaa wa kutengeneza pesa kupitia matangazo ya local(ambayo utakua ukipost kupitia kwa wateja wako wa ndani) pia matangazo mengine kutoka third parties kama google adsense.

2: Unaweza kutengeneza pesa kupitia pakage subscription kama vile ilivyo mitandao mingine ya kijamii(Badoo,Mico, ...) ambapo unatoa features maalumu kwa watu ambao wanalipia huduma.

3: Endapo utakua na focus basi unaweza kuuza mtandao wako kwa pesa kubwa zaidi kutegemea na idadi ya uses ambao utakua nao kwa wakati huo.Hii tumeiona sana hadi leo facebook kununua whatsapp na instagram

4: Unatengeneza public status,hasa kwa watu tunaopenda sifa kama mimi hata kama tutakua tukipata pesa kidogo.

Baadhi ya features ambazo nimezipenda katika PiPiMatch ni uwezo wa kuintergrate na instagram yaan users wako wataweza kuview picture zao za instagram ndani ya application yako endapo wata enable feature hii.

- Pia uwezo wa users kutengeneza profile kwa kutumia facebook.
- Pia Responsiveness yake yaan unaweza kutumia web browser au mobile browser.

Na features nyingine nyiiiingi.

Unaweza kutembelea hapa kuona demo site yao hapa PiPi Match - Online Dating Community ama kuwasiliana nao market@pipimatch.com.
 
Back
Top Bottom