BatteryLow
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 446
- 149
Ok, uko vizuri, lakini labda mm sielewi tofauti ya ku-binafsisha na ku-wekeza.Ubinafsi wa watanzania chanzo cha umaskini na fitina, timu zibinafisishwe kwa masharti mazuri ili soka likue na matunda tutayaona mbeleni, kwani timu km Yanga ikimilikiwa na Manji halafu ikawa na mafanikio kitaifa na kimataifa we shabiki una hasara gani????
Ushindwe na ulegeeNimefurahia sana Serikali kuwapiga 'stop' wafanyabiashara wanaonyemelea kuwekeza kwenye vilabu vikubwa vya soka Tz, Yanga na Simba.
Ushauri wangu kwa hili ni kuwataka wafanyabiashara hawa kuanzisha vilabu vyao kama alivyofanya mwenzao kwa kuanzisha Azam na ikawa moja ya timu zinazofanya vizuri ktk ligi kuu.
Uanzishwaji wa timu nyingine pia utazidisha ushindani ktk ligi soka Tz hivyo kuinua kiwango cha soka nchini tofauti na kung'ang'ania kwenye timu zile zile za zamani.
Huo ni ushauri wangu tu!!
Ubinafsi wa watanzania chanzo cha umaskini na fitina, timu zibinafisishwe kwa masharti mazuri ili soka likue na matunda tutayaona mbeleni, kwani timu km Yanga ikimilikiwa na Manji halafu ikawa na mafanikio kitaifa na kimataifa we shabiki una hasara gani????