Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
wakuu hivi huu utaratibu wa kumwagiana maji siku ya kuzaliwa ulianzishwa kwa manufaa gani? mbona kama wahuni wanazidisha manjonjo? Binafsi sijaruhusu utaratibu huu kwenye siku yangu ya kuzaliwa. Huyu dingii ni siku yake ya kuzaliwa, wahuni wakaona sio kesi wakatafuta mahali chemba ilipo a.k.a majitope jamaa akayaoga bila shida yoyote as if ni haki yake.
vipi rafiki zako wakifanya hiki kitu kwako uta-react vipi?
Uzi tayari
vipi rafiki zako wakifanya hiki kitu kwako uta-react vipi?
Uzi tayari