Shule niliyosoma advance kwenye birthday yako unamwagiwa maji machafu na kukalishwa chini halafu unaanza kupokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira, makofi,konzi na mikanda ya kutosha.
Kwenye birthday yangu nilikuwa natangaza hali ya hatari mtu anisogelee aone nitakavyo make headline kwenye magazeti yote.
Kiufupi huo ni upuuzi first class.
Kuna mmoja niliwahi kumfumua makofi ya kutosha kwa sababu ya huo ujinga wa kumwagiana maji siku za kuzaliwa, binafsi km unataka nikuzimishe kwa kipigo nifanyie huo ujinga
hapana Mkuu sikuwahi kushiriki ujinga huo.najaribu kuwaza kama ulishiriki kuwamwagia maji wengine basi siku ya birthday yako lazima pangechimbika hata upige mkwara wa aina gani π
Hiyo ni michezo ya watoto mchele mchele
Unaanze kushehelekea hakuna muda wala siku kitu wakati kiko palepale mazingira tu ndiyo yanayobadilika na viumbe wake.