Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,058
- 14,382
ANGALIA VIDEO HAPA
Magari yamesombwa, nyumba zimesombwa, baadhi ya Watu wamebebwa juujuu kutokana na mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo Jijini Dar es salaam na kusababisha maafuriko katika baadhi ya maeneo ikiwemo Tegeta na Kunduchi.
Baadhi ya Wakazi wa maeneo hayo wameomba Serikali licha ya kusaidia kwenye uokoaji, iweke pia utaratibu wa kukusanya mali zilizookolewa na kuzigawa kwa Wamiliki wake baadae kwa utaratibu unaoeleweka ili kuepusha Watu wasiohusika nazo kujimilikisha.
📹 AyoTv