Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Mchezaji Emmanuel Dennis (23) wa club ya club brugge (Belgium) raia wa Nigeria hapo jana alijikuta akiondolewa kikosini baada ya kupigana na mchezaji mwezie akigombea siti ya dirishani. Hali hiyo ilitokea wakati team hiyo ikisafiri kwa basi la team hiyo kwenda kukipiga huko Signal iduna park dhidi ya Dortmund(Germany).
😀😀 Hii imekaaje kumbe mpaka huko majuu watu wanapenda kukaa siti za dirishani. Sijui iko kisaikolojia zaidi, maana hata mimi ni mpenzi wa siti za dirishani.
😀😀 Hii imekaaje kumbe mpaka huko majuu watu wanapenda kukaa siti za dirishani. Sijui iko kisaikolojia zaidi, maana hata mimi ni mpenzi wa siti za dirishani.