Dogodogo wa siku hizi wanawachengua sana watu wazima. Sasa akipewa mara moja mtu mzima huona amemaliza dunia yote kuitawala. Kina mama wajifunze ubunifu wa kila siku kudumisha nyumba zao. Sio Mdundiko au Kitumbwike kila siku hata kama ni mzuri kiasi gani.