Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu ndugu yangu. Sisi huku mwanafunzi anapoingia shuleni, anatia kidole chake kwenye kidude kisha kidude hicho kinatuma ujumbe kwa simu ya mzazi kuwa mwanawe amewasili shuleni. Wakati wa mwanafunzi kurejea nyumbani ukifika, vilevile mwanafunzi anatia kidole kwenye hicho kidude kisha hicho kidude kinatuma ujumbe kwenye simu ya mzazi kuwa mwanawe ametoka shuleni. Hii itazuia mambo mengi ikiwemo wanafunzi wanaokosa kuripoti shuleni na kuenda kupiga maraundi mwenda mjini, au wanafunzi wanaotoka shuleni na kuchelewa kuwasili nyumbani hawatakuwa na sababu nzuri ya kumdanganya mzazi kwani mzazi tayari anajua wakati mwanawe alipotoka shuleni. Utundu,anasa,kujivinjari, kupiga maraundi, team kadinya na tabia zingine zitapungua. Shule mia moja zinatumia hiki kidude Nairobi.ongereni majirani tuko njiani
Tanzania huku tunatumia Serikalini, Kama ni mfanyakazi wa Serikali ukiingia unaweka kidole ina scan fingerprint na inapiga picha hapo hapo, lakini sijajua Kama ni ofisi zote hadi za chiniKaribu ndugu yangu. Sisi huku mwanafunzi anapoingia shuleni, anatia kidole chake kwenye kidude kisha kidude hicho kinatuma ujumbe kwa simu ya mzazi kuwa mwanawe amewasili shuleni. Wakati wa mwanafunzi kurejea nyumbani ukifika, vilevile mwanafunzi anatia kidole kwenye hicho kidude kisha hicho kidude kinatuma ujumbe kwenye simu ya mzazi kuwa mwanawe ametoka shuleni. Hii itazuia mambo mengi ikiwemo wanafunzi wanaokosa kuripoti shuleni na kuenda kupiga maraundi mwenda mjini, au wanafunzi wanaotoka shuleni na kuchelewa kuwasili nyumbani hawatakuwa na sababu nzuri ya kumdanganya mzazi kwani mzazi tayari anajua wakati mwanawe alipotoka shuleni. Utundu,anasa,kujivinjari, kupiga maraundi, team kadinya na tabia zingine zitapungua. Shule mia moja zinatumia hiki kidude Nairobi.
Kenya tumeintroduce kwa shule zetu piaTanzania huku tunatumia Serikalini, Kama ni mfanyakazi wa Serikali ukiingia unaweka kidole ina scan fingerprint na inapiga picha hapo hapo, lakini sijajua Kama ni ofisi zote hadi za chini
Tanzania huku tunatumia Serikalini, Kama ni mfanyakazi wa Serikali ukiingia unaweka kidole ina scan fingerprint na inapiga picha hapo hapo, lakini sijajua Kama ni ofisi zote hadi za chini
Good moveKenya tumeintroduce kwa shule zetu pia