Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jun 19, 2023 #41 Kuna wakati mnastahili kabisa kutukanwa. Maana mnazingua sana.
M Missile of the Nation JF-Expert Member Joined May 24, 2018 Posts 15,101 Reaction score 56,054 Jun 19, 2023 #42 Ana jela zenye vyumba vingapi? Watgnganyika milioni 59 hawakubali bandari yao kugawiwa kama pipi
To yeye JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 35,686 Reaction score 86,968 Jun 19, 2023 #43 Ndo ivo
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,243 Reaction score 3,047 Jun 19, 2023 #44 Mmezidisha mpaka anaona isiwe shida yaani kuna mafala mpaka hawa madaktari waliokuja toka Umangani wanasema nchi yetu inauzwa [emoji23][emoji2] wakati watu wamekuja kusoma.
Mmezidisha mpaka anaona isiwe shida yaani kuna mafala mpaka hawa madaktari waliokuja toka Umangani wanasema nchi yetu inauzwa [emoji23][emoji2] wakati watu wamekuja kusoma.
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,042 Reaction score 19,787 Jun 19, 2023 #45 ChoiceVariable said: Endeleeni Kutukana Serikali ,Sheria aliyotunga Mwendazake haijafutwa mkae mkijua. Click to expand... Lazima huyu atakuwa pia member wa JF, na matusi yake sasa atajutia..
ChoiceVariable said: Endeleeni Kutukana Serikali ,Sheria aliyotunga Mwendazake haijafutwa mkae mkijua. Click to expand... Lazima huyu atakuwa pia member wa JF, na matusi yake sasa atajutia..
Mrs Van JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 7,416 Reaction score 16,603 Jun 19, 2023 #46 Mwanzo wa ngoma ni lele.
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jun 19, 2023 #47 Sirdirashy said: Mmezidisha mpaka anaona isiwe shida sasa Click to expand... Wanyooshwe wanyooshwe,kumpa mjinga uhuru ni kujitafutia balaa.
Sirdirashy said: Mmezidisha mpaka anaona isiwe shida sasa Click to expand... Wanyooshwe wanyooshwe,kumpa mjinga uhuru ni kujitafutia balaa.
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 Jun 19, 2023 #48 Carlos The Jackal said: Ni Hatari sana kua na Rais mbovu, alozungukwa na wajaza matumbo. Click to expand... Aisee... ππππ
Carlos The Jackal said: Ni Hatari sana kua na Rais mbovu, alozungukwa na wajaza matumbo. Click to expand... Aisee... ππππ
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 Jun 19, 2023 #49 Mrs Van said: Mwanzo wa ngoma ni lele. Click to expand... Wacha inyesheee...