""mkuu natafuta chumba upanga master naweza pata msaada wako au hata unipe mwanga tu au dalal..nitashukuru sana"
Kipo Upanga Ally Khan Road hatua chache kama mita 300 na Tume ya Mawsiliano au Les Vegas Casino.
Chumba kimoja self contained. Kodi Tshs 400,000/=. Ukihitaji kukiona unaweza kwa miadi. Piga simu 0717114409