Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Pesa za matajiri wa bongo zimepatikana kimagumashiDah!
Watanzania wana pesa bana.
Hivi inawezekanaje matajiri namba 1 mpaka 10 duniani wasitokee Tanzania?
Sio poa. Wengine tunaishi storeUzinduzi pesa a Kibongo si napata nyumba apa...View attachment 3327495
Hamna kitu nyumba ya apartment ya hela hiyo si mchezo napata BMB kali sana......... Achana na huo uchafu wanaopangisha...Sio poa. Wengine tunaishi store