Apartment mpya na iliyo sehemu nzuri inapangishwa katika Jengo la Watumishi Housing, Magomeni Usalama. Ina vyumba vitatu vya kulala, moja ni self contained. Ina sitting room, open dining room, kitchen, store, balcony ya mbele na ya nyuma. Kuna parking ya magari yenye usalama, CCTV camera, ulinzi wa uhakika na huduma za shopping floor za chini. Apartment ipo floor ya tatu, upande wenye view nzuri ya mjini na upepo mwanana. Jengo liko pembeni mwa Morogoro road, kituo cha Mwendo Kasi cha Usalama. Ni Km 2 to kufika town center.-Samora. Kodi ni 750,000/ kwa mwezi na unaweza ku
lipa kwa mkupuo wa miezi 6. Maongezi yapo. Apartment yafaa kwa makazi na ofisi. Karibuni kwa mawasiliano zaidi 0752392356.
lipa kwa mkupuo wa miezi 6. Maongezi yapo. Apartment yafaa kwa makazi na ofisi. Karibuni kwa mawasiliano zaidi 0752392356.