Apartment mpya ya kisasa inapangishwa – Makongo Juu

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,146
Reaction score
371
Unatafuta nyumba yenye ubora, faragha na mazingira tulivu? Hii ni fursa yako!

Sifa za apartment:
  • Vyumba 2 vya kulala, vyote En-suite
  • Sebule kubwa yenye mwanga wa kutosha
  • Eneo la chakula (Dining Area) la kisasa kwa ajili ya familia
  • Jiko zuri lenye nafasi ya kutosha
  • Muonekano wa kisasa wenye mvuto wa ndani na nje
  • Maegesho salama na yenye nafasi ya kutosha
  • Mazingira tulivu na salama kwa maisha ya familia

Kodi: TSh 1,500,000 kwa mwezi

Usichelewe! Apartment za ubora huu katika eneo la Makongo Juu hupata wapangaji kwa haraka.

Kwa maelezo zaidi au kupanga muda wa kutembelea:
0755 312 233

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…