Bin Kawambwa
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 483
- 364
Wabongo huwa mnanikosha mnapoita vyoo vilivyo kwenye nyumba zenu eti ni ''public toilets'' Yaani imekuwa kama ndiyo utamaduni wetu. Kwa nini vissitwe tu vyoo.Habari JF.
Hii hàpa sadakalawe "free hand" kutoka kwa fundi maiko kajumba cha kupangisha, sketch simple ya chumba, sebule na kajiko kadogo, Nyumba ni TWO in ONE.
Choo ni public kwa matumizi yako, familia yako, na wageni wako.
MATERIALS yote ya kusimamisha boma ni 5.5M (SI ZAIDI), kabla ya kupaua, Hapo utajumlisha na pesa ya fundi.
Kama una ramani yako pia, karibu kwa ajili ya ujenzi,
Call/Watsap +255 712 27 14 27
Wataalamu wa lugha wakitupa jina/neno mbadala tutalitumia tuWabongo huwa mnanikosha mnapoita vyoo vilivyo kwenye nyumba zenu eti ni ''public toilets'' Yaani imekuwa kama ndiyo utamaduni wetu. Kwa nini vissitwe tu vyoo.
Family bathroom/toiletWataalamu wa lugha wakitupa jina/neno mbadala tutalitumia tu
Mwamba, hapo hujengi ng'ooo!!!!Ebu ngoja tuone kama naweza nikajenga....😜View attachment 3593314
Safi...ngoja tuingize vipimo sasa.Habari JF.