Sasa si angalau uweke picha nzuri zinazoonyesha hiyo apartment na hivyo vyumba. Maelezo mareefu halafu umeweka picha ya stoo dah!Apartment Inapangishwa
Nyumba: 2 ( 1 Self )
Eneo: Kigamboni-Kisiwani
Bei: Tshs 350,000 KwaMwezi
Muda wa malipo: 6 Miezi
Ina vyumba 2 (kimoja ni masta), Sebule, Jiko na choo cha wote. Maji yapo, Luku yake, ipo umbali wa dakika 10 kutembea hadi kituoni
Karibu: 0742141467
View attachment 1734715
Mbona sijaona kama linashida! Hebu tufafanulie Chief!Fundi bati nae...paa gani hilo
We ndo yule dalali Kigamboni?Apartment Inapangishwa