dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
Mshahara wa mtu uo boss
Ubaguzi wa kijinsia huo,!Aje member mmoja basi tushee cost
Kila mtu anamiliki one master room then sebule tunashare
(Mwanamke mwenzangu lakini)
Aje member mmoja basi tushee cost
Kila mtu anamiliki one master room then sebule tunashare
(Mwanamke mwenzangu lakini)
Mwenye pocket money ya laki tatu na nusu kwa siku, hawezi kupanga kwenye hicho KIBANDA.Maisha tunatofautiana sana mkuu, huo ni mshara wa mtu na mwingine ni poket money ya siku
Si ndo hapo sasa.Mwenye pocket money ya laki tatu na nusu kwa siku, hawezi kupanga kwenye hicho KIBANDA.
Mwenye pocket money ya laki tatu na nusu kwa siku, hawezi kupanga kwenye hicho KIBANDA.