NANGAI MSUMI
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 146
- 94
[emoji28][emoji28][emoji28] wanaleta uchawa hao wavaa vinjungaMmmmh nazijua hizi apartment za hivi, wadau msijiroge ukikaa humu utakutana na majirani wavaa vinjunga kazi yao "ku trade" ofsi zao ni geto zao ukitoka kwenda kibaruani wanazama kwako anaenda kumuomba mkeo pasi, ndoo ,beseni au chaji, kavaa kitaulo tu,..ohooo !!Abiria Chunga mzigo wako..
But kama huna familia ni mahala pazuri xn,
Hahahahahaha[emoji28][emoji28][emoji28] wanaleta uchawa hao wavaa vinjunga
Mmmmh nazijua hizi apartment za hivi, wadau msijiroge ukikaa humu utakutana na majirani wavaa vinjunga kazi yao "ku trade" ofsi zao ni geto zao ukitoka kwenda kibaruani wanazama kwako anaenda kumuomba mkeo pasi, ndoo ,beseni au chaji, kavaa kitaulo tu,..ohooo !!Abiria Chunga mzigo wako..
But kama huna familia ni mahala pazuri xn,
Vile vipensi vifupi wanavyoo ma marioooVINJUNGA ndio nini??