Mi mwenyewe ninayekaa Temeke bado hujanipeleka Kimara; tena kwa Laki Tano; kodi ya miezi sita Temeke na change inarudi!!!!! Mleta mada usin'tanie.Hata wakinga hawaishi kimara, sembuse wageni wa kutoka nje ya nchi? Lol
Dalali umesahau kupiga picha reserve tank ya maji tuone ni ya lita ngapi?
labda chumba kimoja au chumba na sebule, inamaana temeke kwa laki5 inatosha kodi miezi 6 nyumba nzuri inayojitegemea au upande na chenji inarudi???!!Mi mwenyewe ninayekaa Temeke bado hujanipeleka Kimara; tena kwa Laki Tano; kodi ya miezi sita Temeke na change inarudi!!!!! Mleta mada usin'tanie.
hii nayo pointi,Kwani ukipanga hapo lazima uwe unafanya kazi mjini? Kama una duka Kibamba au mhadhiri St Joseph?
acheni ukabila kila mahali,Unawea kuandika upya hili tangazo kwa lafudhi ya kichaga labda ndio litaeleweka.
Asante.