Plot4Sale Apartment zinauzwa jiji la Dodoma kwa milioni 130 tu

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,493
DODOMA LANDLORD COMPANY(DLC)

TUNAKULETEA HIZI HAPA APARTMENT NZURI ZINAUZWA.

[emoji1485]mahali:-MICHESE DODOMA MJINI. MKABALA NA RELI YA SGR.

[emoji1485]NYUMBA ZA KWANZA BAADA YA RESERVED ROAD YA RELI YA MWENDOKASI.

[emoji1485]IPO KATIKATI YA ENEO LA MIGANGA NA MKONZE
JIRANI NA USAFIRI WA UMMA.

[emoji1485]MAJI,UMEME,BARABARA VYOTE VIPO

MUUNDO WA APARTMENT.
1.NYUMBA INA.....
-vyumba viwili vya kulala vyote master,
-sebule
-jiko
-dining
-dressing chamber

2.NYUMBA INA.....
-vyumba viwili vya kulala vyote master
-sebule
-dining
-jiko
-dressing chamber

[emoji1485]Pia kuna vyumba vitano vya kawaida vilivyoshikana na fensi vimefikia hatua ya Renta.

Ukubwa wa eneo Sqm 1,460

[emoji1485]Fensi, geti,pavings block,garden n.k vilivyobaki vya ziada.

Jumla kuu mzigo wote utaupata kwa BEI 130M TU(Maongezi yapo).

Kwa mawasiliano zaidi:-
Call/Sms/Whatsapp.
+255 (0)625646266

Ukiridhika Tumefanikiwa.







 
Umeshasikia zipo karibu na barabara ya sgr au mwendokasi unategemea nini hapo mkuu. Watu wamesha calculate risk ndogo mdogo

Karibu sio Jirani hakuna risk yoyote zipo nje ya Mita za hatari zilizowekwa na Serikali!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…