Andre02150
JF-Expert Member
- Feb 2, 2010
- 332
- 129
Apartments 6 zenye vyumba vitatu vya kulala zinapangishwa. Kila apartment ina master-bedroom moja, room 2 za kulala, kabati za ukutani za nguo, jiko, sebule,sehemu ya kulia chakula, na vibaraza viwili. Pango Laki 8. Kwa maelezo zaidi piga simu au tuma ujumbe WhatsApp: +255684599704. Ahsante