House4Rent Apartments For Rent in Salasala, Dar es Salaam

Andre02150

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
332
Reaction score
129
Apartments 6 zenye vyumba vitatu vya kulala zinapangishwa. Kila apartment ina master-bedroom moja, room 2 za kulala, kabati za ukutani za nguo, jiko, sebule,sehemu ya kulia chakula, na vibaraza viwili. Pango Laki 8. Kwa maelezo zaidi piga simu au tuma ujumbe WhatsApp: +255684599704. Ahsante
 
Ungeweka hata hint ya bei kidogo chief.
 
Pazuri ila madalali kwa kutopenda kuweka vitu hadharani ndio tatizo.
 
Uwe mwazi useme nalipisha kwa US dollar. Hamna cha maelewano mtu kashapanga hera yake inarudi je.....pia na benki inahitaji marejesho yake na inajua kiasi cha kodi ningapi hata kabla ya kutoa mkopo
 
Mbn hupatikani ww?
 
Mbona vichekesho. Bei maelewano kivipi? Nyumba inapangishwa bila bei maalumu? Hii ni dalili ya wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…