Nishawai kaa hapo, jamaa wana charge $50 a day, wazawa, wana gym, just a throw stone away from the beach. Fantastic, swala la usafiri ni makubaliano, wanaweza kukupa, msosi na nani nini eleweana nao amabo ni nje ya kukodisha ivyo vyumba, ni jamaa wa kinyamwezi aliekaa sana derby miaka kadhaa, najua kuhudumia wateja...lazima uweke deposit ya wiki au zaidi...
Sio siri napa recommend apa kwa watu wengine...
wapi mkuu? panaitwaje, sehem gani, bei?

Jamaa namba zao ni 0713280020 au 0773280030
Mzee Mahindi, Mtu mzima sana huyu bwana..ukimkosa wasiliana na jamaa yake deo 0715833402..