Apatae mke amepata kitu chema

Apatae mke amepata kitu chema

debbug

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2018
Posts
562
Reaction score
855
habari za muda huu tafadhali nisiwachoshe sana Bali niende straight to the point.Lakini nikili tu kwamba sio mzoefu sana katika uandishi kwaiyo nitakosea sana na muonapo makosa nisahiisheni ndugu zangu.

Mabinti wote mliopo kwenye jukwaa hili na majukwaa mengine ndani ya hii forum yetu pendwa nawakaribisha sana kwenye Uzi wangu.

Lady's natafuta mchumba baadae aje awe mke wangu wa ndoa na zifuatazo ni sifa za uyo binti ninaemuitaji.

Awe msabato ( akuna negotiations kwenye hichi kipengere).
umri kuanzia miaka 21-24 .
Awe mcha mungu yaan kwasababu ninachotarajia kwenye maisha yangu ni Mimi na familia yangu nikumtukuza mungu kwaiyo maswala ya kiroho awe vizuri ni kwa ustawi wa familia yetu kiroho.
Awe mzuri namaanisha akiwa mweupe na mnene wastani nitashukuru sana.
Elimu kuanzia form four na kuendelea

SIFA ZANGU
Nina umri wa miaka 26.
Ni muajiliwa.
Ni mweusi wastani.
Ni msabato.
Elimu yangu ni bachelor in computer science
Sio mrefu sana wala mfupi sana.

Nb nipo serious na nitampenda na kumjali sana mke wangu.PM tafadhali kwa alie serious
Karibuni.
 
Back
Top Bottom