Apetizer!!

Apetizer!!

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,132
Reaction score
31,149
mahitaji biringanya kama 4,chumvi,pilipili iliyotangwa pamoja na kitunguu swaumu

jinsi ya kuandaa:katakata mabiringanya slices
ndogondogo kisha weka kwenye bakuli uliloweka chumvi

changanya,kisha washa jika weka mafuta size kama vile unakaanga samaki au maandazi kisha mafuta yakipata moto weka biringanya kaanga mpaka zikiwa za brown kisha ipua weka kwenye chujio la nazi ili uchuje mafuta kisha chukua pilipili kidogo uliyotwanga changanya na ndimu kisha mwagia juu ya biringanya
Save mezani utalia na ugali na mboga yoyote,wali,pilau(hapa inanoga zaidi ) ↲
cc snowhite gfsonwin shansarie Mamndenyi Zahra White Madame B Kijino Heaven on earth charminglady YNNAH arabella Kaizer watu8 mimi49 Paloma ladyfurahia mimisa ladydoctor @
 
Last edited by a moderator:
dah aisee ni apetizer nzuri leo nimeitengeneza ni
kaona nishare na nyie wanajamvi wenzangu.
Smile Nivea Kaunga Kongosho dah tupeane maujanja mi Zahra White nataka unisaidie kutengeneza korodani za jogoo mwekundu lol
 
Last edited by a moderator:
Really yatia hamu ya kula. Asante kwa hilo na hongera umetengeneza kitu kizuri na umetujuza
 
Natmani ningeonja hiyo makitu...inaonekana itakuwa nzuri sana
 
Really yatia hamu ya kula. Asante kwa hilo na hongera umetengeneza kitu kizuri na umetujuza

ahsante na jaribu kutengeneza kama unavidonda pilipili usiweke nzuri mnooo mtagombania na shem looo
 
mahitaji biringanya kama 4,chumvi,pilipili iliyotangwa pamoja na kitunguu swaumu

jinsi ya kuandaa:katakata mabiringanya slices
ndogondogo kisha weka kwenye bakuli uliloweka chumvi

changanya,kisha washa jika weka mafuta size kama vile unakaanga samaki au maandazi kisha mafuta yakipata moto weka biringanya kaanga mpaka zikiwa za brown kisha ipua weka kwenye chujio la nazi ili uchuje mafuta kisha chukua pilipili kidogo uliyotwanga changanya na ndimu kisha mwagia juu ya biringanya
Save mezani utalia na ugali na mboga yoyote,wali,pilau(hapa inanoga zaidi ) ↲
cc snowhite gfsonwin shansarie Mamndenyi Zahra White Madame B Kijino Heaven on earth charminglady YNNAH arabella Kaizer watu8 mimi49 Paloma ladyfurahia mimisa ladydoctor @

asante lazima nitengeneze leo hiyo inaonekana ni taaaaaaaaaam sana
 
waaoh thanks amu kweli mwanamke mapishi.......naijaribu weekend hii

halafu ntakupa feedback
 
Last edited by a moderator:
ngoja nijaribu kuipika kesho niko home.
itabidi snowhite uje ili wewe upike visheti mie nipike appertizer
 
yaani umenichekesha sana nimejikuta nacheka mnooo so utalia na visheti?
Bwana songa ugali itanoga sana
 
unashangaa??
nitakula na visheti si ndo ninajaribu pishi jipya??
 
haya bana ila sijasema liliwe na visheti usije ukatengeneza sumu buree
either ugali,pilau,wali au kisra ila visheti mhhh jaribu kisha unipe majibu nami ntajaribu
 
Yummy..ngoja nikatafute hivo vikorombwezo kesho kisha nitarudi na feedback!
 
haya bana ila sijasema liliwe na visheti usije ukatengeneza sumu buree
either ugali,pilau,wali au kisra ila visheti mhhh jaribu kisha unipe majibu nami ntajaribu

hivi unavijua visra???
jamani nimevimiss sana sana sijui kuvipika ingawa mama yangu huwa anatupikiaga na nizamani sana. nitafutie recipe yake ningeshukuru sana.
 
Back
Top Bottom