aseenga
Senior Member
- Jul 13, 2011
- 106
- 86
jmani kuna jambo linanisumbua, suala lenyewe ni kwamba kuna mwanamke mjamzito alikuwa anasafiri kwa ndege kutoka fillipenes kwenda marekani. kilichotokea ni kwamba ndege ilipokuwa katika ang ya kimataifa bac yule mwanamke alipata uchungu na kujifulia ndani ya ndege. swali je mtoto huyu atakuwa raia wa nchi gani?