apewe urai wa wapi?

aseenga

Senior Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
106
Reaction score
86
jmani kuna jambo linanisumbua, suala lenyewe ni kwamba kuna mwanamke mjamzito alikuwa anasafiri kwa ndege kutoka fillipenes kwenda marekani. kilichotokea ni kwamba ndege ilipokuwa katika ang ya kimataifa bac yule mwanamke alipata uchungu na kujifulia ndani ya ndege. swali je mtoto huyu atakuwa raia wa nchi gani?
 

inategemea na sheria za hizo nchi mbili zinasemaje, ila uraia wake utakuwa kwenye nafasi ya kajadiliwa pale atakapo andikisha kuzaliwa kwake, yaani kwa habari hii yako ni kuwa mtoto atatolewa tangazo la kuzaliwa akiwa marekani. wakati huo akiwa marekani ndo cha kwanza itakuwa ni juu ya sheria ya marekani inasemaje. kama inaruhusu mtu kuwa raia wa marekani kwa kuzaliwa bila kujali uraia wa mzazi basi atakuwa mmalekani, namna nyingine itabidi akaangalie huko ufilipino nako ku nasemaje. mara nyingi ktk hali hiyo huyo mtoto atatakiwa kuomba urai wake kutoka moja kati ya nchi hizo au nyingine yoyote.
 
joseph nimekula, hiyo issue ni ya kweli imetokea.
 
Waache kujiangaisha kuulizana maswali wakati dogo yupo around,cha kufanya wamuulize dogo ubraza men(kama boy) au usista duu(kama girl) hapa marekani au Tsunami na mitetemeko ya ardhi hapa ufilipino yeye anachagua nini.
 
Hana uraia wA nchi yoyote huo..because hajazaliwa within any national boundary.
 
Atakuwa hana uraia wa nchi yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…