Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

Dawa inanunuliwa kwa control number?
Kifupi tu wabongo sio watu wa kujali, hapo unaweza kuta jamaa alikuwa anaforce kuingia hata Kama hakuruhusiwa
Nafikir hujaenda kweny hospitali kubwa za mikoa na kanda kwa muda mrefu siku hizi hatutumii mifumo ya cash tunatumia mifumo ya wizarani kama GOTHOMIS na Afya hii ni mifumo ya malipo na utabibu hosp mpaka vituo vya afya
 
Halafu desturi ya kucharazwa viboko huko kume kitu cha kawaida yaani hadi walimu hulazwa chini na MaDC tena mbele ya wanafunzi, hebu ona hizi taarifa hadi hurum bana Walimu wacharazwa bakora tena, mbele ya wanafunzi wao!!



Yaani Mbwa anawashinda "ubinadamu" wakenya??!!, katika hali hiyo siku moja Mbwa watakuja kuwa viongozi wenu.🤣

Hsyo ni matunda ya ukabila, Kweli ukabila ni mbaya kuliko ile apatheid ya Afrika kusini, apatheid ilikuwa Wazungu dhidi ya Waafrika lakini ukabila wenu ni Mwafrika dhidi ya Muafrika---- kwa tukio hilo la Mbwa hamkuitia aibu Kenya pekee bali Afrika nzima.
 
Mtaanza kumjaji askari bila kujua chanzo chake ni nini,,, Binafsi askari hawezi fanya maamuzi pasina kuwa na sababu, labda awe askari chizi hapo sawa.
Unakimbuka yule Mdau Wa soka tanga Meneja Wa zamani Wa muumini mwinjuma aliyuwawa December mwaka Jana Kwa kipigo cha suma jkt kisaa wamemwagiwa maji na pikipiki,au inahalalisha hiyo
 
Unakimbuka yule Mdau Wa soka tanga Meneja Wa zamani Wa muumini mwinjuma aliyuwawa December mwaka Jana Kwa kipigo cha suma jkt kisaa wamemwagiwa maji na pikipiki,au inahalalisha hiyo

Ndio chief. Nimesikitika sana kuona huo ushenzi aliyofanyiwa huyu ndugu john. Mkuu wa wilaya ya Shinyanga ameiagiza suma jkt kumuondoa katika hospital ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga.
 


Ndicho kilichobaki kuonesha watu wanawajibika, they can not think otherwise na wakaonekana wanafanya kazi vema, vitisho na ubabe ndicho tulichajaaliwa nacho.
 
Kwahio story ikibalance walinzi wanakibali chakukutandika ngumi?

Huyo anaonekana ametoka kusomea uandishi wa habari, na mada aliyosoma leo ni hiyo ya story balancing kwahiyo yupo kupractice, msamehe bure
 
Huyo anaonekana ametoka kusomea uandishi wa habari, na mada aliyosoma leo ni hiyo ya story balancing kwahiyo yupo kupractice, msamehe bure
Alinisikitisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…