Apimwe mkojo

Waziri kivuli

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
2,987
Reaction score
3,450
Baada ya Daktari bingwa kutoka Tanzania,Dr Kigangwala kugundua sayansi ya kubaini uchochezi kupitia mkojo wa mtuhumiwa,napendekeza Mkapa kuchukuliwa vipimo hivyo mara moja kubaini kilichisababisha awachochee watanzania mil 6 tena mbele ya Rais wa JMT!
Napendekeza Dr Kigwangala awe field kuongoza kwa vitendo zoezi hilo!
Wasalaam!
 
Asubiri kwanza tupate Noah zetu ndo waanze kupimana haja ndogo zao...
 
Asubiri kwanza tupate Noah zetu ndo waanze kupimana haja ndogo zao...
Suala la Noah ni la Muhimu sana, napendekeza kiitishwe kikao cha Amani kudai noah na hela ya Mafuta mwaka mzima.

Kikao hiki kitasaidia kuweka uelewa na utaratibu mzuri zaidi wa nani/mkoa/kabila(haswa wasukuma) waanze kupewa na sh ngapi ili kuepusha ucheleweshaji wa mgao.
 

Hii makitu inaninyima sana usingizi. Hebu waachane na mikojo watupe Noah zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…