Aplikesheni ya Signal imeongeza kipengele cha malipo

Aplikesheni ya Signal imeongeza kipengele cha malipo

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
Aplikesheni ya Signal imeongeza kipengele cha malipo, kinacholenga kutuma na kupokea MobileCoin kama mfumo wa malipo ya faragha.

20211122_132406.jpg


20211122_132411.jpg


20211122_132414.jpg


Na ingizo la Signal Boost kama njia ya kuichangia aplikesheni ya Signal kwa kuwa haitumii/kuuza data na wala haiweki matangazo.

20211122_132417.jpg



Payments toka Signal
 
M naomba kufahamu kuhusu hiyo coin ....

na naweza faidika vipi nikiamua kununua hiyo coin sijui kulipia .....😁🙏
 
M naomba kufahamu kuhusu hiyo coin ....

na naweza faidika vipi nikiamua kununua hiyo coin sijui kulipia .....😁🙏
MobileCoin ni OpenSource digital wallet au/na money transfer inayokuwezesha kufanya transactions haraka na usalama zaidi. Faida ni kutuma au kupokea pesa na kutumia katika malipo kwenye ulimwengu wa Crypto kwa urahisi, haraka na usalama.

Hii ni tovuti rasmi Private, Secure - MobileCoin unaweza kupitia kufahamu zaidi.
 
Back
Top Bottom