Aplikesheni ya Signal imeongeza kipengele cha malipo

M naomba kufahamu kuhusu hiyo coin ....

na naweza faidika vipi nikiamua kununua hiyo coin sijui kulipia .....πŸ˜πŸ™
 
M naomba kufahamu kuhusu hiyo coin ....

na naweza faidika vipi nikiamua kununua hiyo coin sijui kulipia .....πŸ˜πŸ™
MobileCoin ni OpenSource digital wallet au/na money transfer inayokuwezesha kufanya transactions haraka na usalama zaidi. Faida ni kutuma au kupokea pesa na kutumia katika malipo kwenye ulimwengu wa Crypto kwa urahisi, haraka na usalama.

Hii ni tovuti rasmi Private, Secure - MobileCoin unaweza kupitia kufahamu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…