Mhh hyo app haifany kazi kabisaninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA
nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi
App iko slow sana sijawahi ona,hivi mtu anakuwa anawahi nini kuingiza app playstore au Appstore wakati anaona kuna feutures hazijawa tayari
Iko slow sana sasa sijui aliyeitengeneza yeye hakuijaribu kwenye simu yakeMhh hyo app haifany kazi kabisa
nakazia
sh ngapi mkuu