App Gani inaweza pata watumiaji Wengi Tanzania

hii kali sana
 
Currently nina hii hapa nasota kweli kwenye kuimarket Bongo Contents - Apps on Google Play
Mzee kwa strategy hio utasota sana kutoboa ngumu

Anza kwanza kutoa huduma then ndio utengeneze App

Anza kwanza kutoa huduma then ndio utengeneze App

Anza kwanza kutoa huduma then ndio utengeneze App

Hapa namaanisha Anza na njia zilizopo kutafuta wateja then haobwateja baadae uwachote kama maji kuwamwagia ndani ya App hao ndio Users wako wa kwanza watakaolukulipa na kuwa mfano kwa wengine kuwa kweli watu wanalipa, kweli watu wanapakua App nk

Mfano wewe ukiingia Playstore ukaona App ina downloads 10 lazima uipuuzie
 
Anzisha App hizi
1/Ajira
2/Mapenzi (Link Up)
3/Betting Predictions for Tzs

Hii App ya Ajira naweza kukupa User Interface yake na kidocumets cha maelezo ukanilipa tu.

Na hii ya Betting Predictions ninayo USER Interface yake naweza kukuzia, hii ndio unaweza kuoiga mamilioni ukikaa vizuri ninayo user interface ila kuna features fulani ndio unaweza pata Users wengi...humo inabidi kuwe na system Predictions na manual ambayo inafanya na ma Goats wa Betting.

Check on me ukihitaji hizi UI/UX
 
It's like nataka niingiize kiasi kikubwa cha hela kwa mda mfupi, kitu na ambacho it seems hakiwezekani kirahisi. Okay itabidi tu niende mdogo mdogo na nikubali kuwa Bongo Matangazo ndo yanafanya kazi [emoji120]
 
fanya app ya Ngono, iwe kibongo bongo usiweke contents za nje
ukienda Buguruni huwezikosa characters
director mcheki Stills by Allan Lloyd Munroe
Hii imeenda, nitakula hela za matangazo ya kwenye kuplay video !!! Nazitolea wapi zile ndefu ndefu hadimu
 
Niko kwenye market research, Nataka nitengeneze application inayo offer service flani. Service gani inahitajika sana Tanzania ? Mwana JF mmoja kaniambia iwe ya ajira na Tenda
Shida ni kupata watuamiaji( Uwekezaji unahitajika hapo.), alafu wabongo wengi maswala ya App bado wana ushamba wa kutosha. nishawah kujaribu App kazi, kwenye market nilikuwa vizur ila watumiaji
 
App ambayo mteja anaweza kuaccess kama library ya nyimbo, movies + tamthilia.
Weka categories mteja aweze kuchagua.

Ikiweza ku stream + option ya kudownload + /save to watch later & Quality ikiwa nzuri utawapata sana.
 
Namuweka lipota wa mchongo
 
Andaa Dating site za kuunganisha wapenzi bila gharama wala masharti mengi, umbea, udalali wa malaya wa kila muonekano na kila mahala, miujiza ya kidini, biashara ya uganga wa kienyeji kama uuzaji wa dawa za nguvu za kiume, kusafisha nyota, kumfunga mke/mume, limbwata, chumauelete, bila kusahau stories za uongo na kutungwa kuhusu mbinguni&kuzimu.

La mwisho kabisa andaa site ya kufanya derivery ya mafuta ya mwamposa yaani msambazaji mikoani na kila mahala, kwa hakika utaupata utajiri ambao utarithisha vizazi na vizazi.

Raha kula pesa ya wajinga
 
Dating site, unahitaji mwanzon upate pisi nyingi zaku sign up ndo mamen waje kuanza kutafuta vyuma. Nawatolea wapi
 
Tengeneza status saver na weka matangazo ya ADMOB / MAN, then tafuta traffic SA/Brazil. Umemaliza mchezo bongo hakuna pesa man. Kama developer utakuwa umenielewa.

Hapo chini app ya status yenye matangazo ya Meta Audience Network(MAN).
 

Attachments

  • Screenshot_20201128-125239_Status_Saver_1_[1].jpg
    50.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20201128-125305_Status_Saver_1_[1].jpg
    95.4 KB · Views: 10
  • Screenshot_20201128-125322_Status_Saver_1_[1].jpg
    54.5 KB · Views: 12
Hapo kwenye ngono iweje, I mean nidisplay ngono za tz tu au zote coz free porn web n nyingi. Iwe kama ya dating, kununua malaya au iweje. Pia Tatizo kubwa n kwenye marketing inakuaj
Umeona wale wa dada wanaojiuza katika magroup telegram Wale unawaundia app Yao unaweka playstore na AppStore then ndani ya hio app unaweka category za kuchagua Group la free na group la VIP na group la VVIP Yani Ukitaka kununuA Malaya VIP au VVIP unalipia na wewe unaetaka kuwekwa VIP unalipia…!!Hawa local wachafu unaweka free kwa mwanzoni Ila baadae app ikiwa HOT unachaji pesa kwa kila anaetaka kujiunga Hata 5000…!!Mwanzoni lazima uweke mambo ya free ili upate watu hata whatsapp Mwanzo anaanza ilikuwa free kila kitu now tushaizoea tukiambiwa kwa mwezi unalipia mia 5 huwezi kataa..!!So yeye anajua app yake inawatu milioni 30 piga 500xmilioni 30…!!!
 
Asante! Ika kuipromote n ngumu kuliko vitu legit. Alaf appstore na playstore wata i ban mapema tu. Labda iwe website .
 
Asante! Ika kuipromote n ngumu kuliko vitu legit. Alaf appstore na playstore wata i ban mapema tu. Labda iwe website .
Mambo ya hovyo promo zake zinaenda kihonyo kwa watu wa hovyo hovyo….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…