App gani ni nzuri Playstore ya kuangalia matukio live hasa la leo

App gani ni nzuri Playstore ya kuangalia matukio live hasa la leo

EvilSpirit

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Posts
10,576
Reaction score
16,644
Naomba kufahamishwa app nzuri ya moja ya tv zetu ni nzuri kwa kuangalia tv kwenye simu,app nyingine hata hazieleweki unapoteza mb kudownload lakini unakuta zinasumbua.
 
YouTube hasa hio unayoikuta kwenye simu ni nzuri ukiifungua unasearch mfano tbconline,etv etc
 
Back
Top Bottom