App gani nzuri na ina ligi nyingi za kuangalia live kwenye smartphone?

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
414
Ni App gani nzuri na ina mechi nyingi za mpira wa miguu ambayo naweza kuweka kwenye smartphone?
 
Unataka ligi ya nchi zipi? Kwa EPL na UEFA champions league ni live football tv euro. Kwa ligi nyingi ni Mobdro, na pia kuna website ya www.hesgoal.tv
 
Screenshot_20220514-084746.png
chukua hii
 
App ya TV bora Tanzania unaweza kuangalia channel za Azam pamoja na DSTV bure bila kulipia bonyeza link hapo chini uidownload ina mb 9 tu 🔥

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Hiyo App kila kitu iwe NBC Premier League, EPL, La Liga, Serie A , UEFA zote, African Champions League, Confederation Cup, Azam Sports Federation Cup , taarifa za habari kupitia ITV, TBC, kila kitu
 
Unataka ligi ya nchi zipi? Kwa EPL na UEFA champions league ni live football tv euro. Kwa ligi nyingi ni Mobdro, na pia kuna website ya www.hesgoal.tv
Hesgoal.com ilikuwa inafanya vizuri ila hawaonyeshi tena EPL na UEFA

Hesgoal.tv tatizo lake haina sauti na adverts ni nyingi sana
 
App ya TV bora Tanzania unaweza kuangalia channel za Azam pamoja na DSTV bure bila kulipia bonyeza link hapo chini uidownload ina mb 9 tu 🔥

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Hiyo App kila kitu iwe NBC Premier League, EPL, La Liga, Serie A , UEFA zote, African Champions League, Confederation Cup, Azam Sports Federation Cup , taarifa za habari kupitia ITV, TBC, kila kitu
Kiongozi Epl unaonaje maana naona za kikwetu tuu? Mean hizi za Bongo
 
Hesgoal.com ilikuwa inafanya vizuri ila hawaonyeshi tena EPL na UEFA

Hesgoal.tv tatizo lake haina sauti na adverts ni nyingi sana
Tumia brave browser hautoona tangazo hata moja. Mimi ilikuwa inaniuzi hesgoal.com unaangalia mpira pembeni wameweka matangazo watu wako uchi. Lakini nikatumia Brave browser aisee pakawa peupeee ni mpira pekee ndio unaoona. Nyingine inaitwa free add blocker browser
 
Shukrani sana
 
Back
Top Bottom