Yohana Daniel
Member
- Mar 18, 2018
- 63
- 33
Habarini za asubuhi wana JMF wenangu natumai tumeamka salama
Niende moja kwa moja kwenye point naomba kufahamu app nzuri za kujifunzia kiingereza na kifaransa kwa wepesi zaidi iwe za online au za offline msaada sio kama sijui kiingereza but nataka niwe konk konk konk zaidi na pia kujua kifaransa ni muhimu sana,maoni yenu tafadhali.