nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Habari zenu wakuu, hapa nilipo nina shida na 15k ya haraka. Kuna app nyingi za kutoa mikopo ila kuna sharti naona sijakidhi.
Wanataka niwe na kitambulisho cha taifa (NIDA). Bahati mbaya sijakipata mpaka leo. Nina namba pekee.
Sasa nimekuja kwenu wakuu, najua wapo wenye issue kama yangu. Ningependa kujua app za mikopo ambazo ukiwa na namba ya nida pekee, wanakupa mkopo.
Natanguliza shukrani