Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulifanikiwa?Wanajamii forum nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Naomba anaejua app inayoconvert docment iliyopigwa kama picha au pdf kuipeleka kwenye word. Ambayo ni ya bure hailipiwi
Kuna jamaa katoa link hapo juu.Mkuu ulifanikiwa?
Nahitaji huu msaada
Imegoma kwanguKuna jamaa katoa link hapo juu.
Ni bure kikubwa chagua aina ya file unalotaka ku convert then upload file na ku convert easily.Imegoma kwangu
Naona ni ya kulipia
Convert images to word ni ya kulipiaWanajamii forum nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Naomba anaejua app inayoconvert docment iliyopigwa kama picha au pdf kuipeleka kwenye word. Ambayo ni ya bure hailipiwi
Lipia tu hakuna namnaImegoma kwangu
Naona ni ya kulipia