App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

Rudisha logo ya zamani. It was more elegant.
 
Mm nashindwa na mna ya kumjibu mtu aki nijibu kwenye comment up niutafute huo uzi kisha nianze kutafuta iyo comment
 
Mngeweka na sticker kama zile za WhatsApp
 
Kama bado mhajaweka hiding button kwenye in thread especially jukwaa la habari mchanganyiko bado ni tatizo. Coz 1 page ya hiki jukwaa imajaa pinned threads ambazo sijawah zisoma kabisa.
 
Sasa si bora inayouliza?

Kwenye simu yako apps nyingi za nje ya nchi zinaaccess data zako automatically.

Ukiwa mjanja, unaingia kwenye setting unazima.hizo access.

Kwangu zote lazima niulizwe nijue inataka kuniingilia wapi.. wakati naipakua inataka kuingia wapi.. Hayo ya setting kuhangaika kila baada kazi unayo.. Jiongeze... Hakuna ujanja kama umekubali idake kwanza halafu eti utoe.. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kumbuka ya zamani miaka ileeeee utofauti mkubwa kiuboreshwaji kizaidi... Ila mie napenda browser natumia kwa mengi kurahisisha upekuzi wangu humu wa kusoma na kuburudika πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…