Basi kazi ipoπ ... But haya malalamiko ya watu yanawashusha hadhi, maana mtu unashindwa kuelewa ni kwamba hawakuitest kabla ya kuwaruhusu watu waitumie au waliitest wakiwa watu wawili watatu so now watu wanavyoongezeka inaanza kuonesha behavior tofauti?Blindly π
Ni ngumu kuwateteaBasi kazi ipoπ ... But haya malalamiko ya watu yanawashusha hadhi, maana mtu unashindwa kuelewa ni kwamba hawakuitest kabla ya kuwaruhusu watu waitumie au waliitest wakiwa watu wawili watatu so now watu wanavyoongezeka inaanza kuonesha behavior tofauti?
But all in all kwa issue hiyo ya msg hata mkitest user wawili ikikaa sawa hakuna namna inaweza behave tofauti.
Najua tu Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah uliowaweka ignore list. Hii mijitu mibishi.App mpya ina bugs nyingi sana, members niliowaweka ignore list contents zao zinaonyeshwa, pia binafsi naona mtiririko jinsi comments zinavyoonekana inachosha kusoma. Sasa hivi natumia browser tu
His yoke is easy and his burden is lightHii app mpya notification zinakaa sehem gan mkuu
Unamaana gani mkuu?πMimi AKA yangu naitwa Australia bara kubwa Inch moya
Hahahaa, you are right jembe ππΎNajua tu Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah uliowaweka ignore list. Hii mijitu mibishi.
Duuh ππYaani ni watu wawili wanachat , ila meseji zimekuja kwangu wakati sijawahi kuchat na watu hao. Na sio convo moja karibia tano,
Technical huwa vinatokea, kosa kidogo tu kwenye design ya RBAC mambo kama hayo hujitokeza, nili develop app ambayo inatumika nilifanya kosa kidogo baahati nzuri nilikuwa nime lock kwenye back end, so haikuvuja vya kutoshaBasi JF watakua na developer wa bovu sana kama swala basic kama hili linatokea kwenye super brand company kama hii...
Hahaha tunamsema alivyo mchoyoπ€£
Kuna siku niliona Pm za watu ila nilipojaribu kufungua zilikuwa zinakataaaaa
Nakuunga mkonoYaani ni watu wawili wanachat , ila meseji zimekuja kwangu wakati sijawahi kuchat na watu hao. Na sio convo moja karibia tano,
Kwa tabia zako mbaya hishindwi tuweka raha za watu hadharani weweHiyo bahati inidondokee na mimi jamani.!
Kwa hiyo na wewe ulitaka ufungue ujue yaliyomo? πNakuunga mkono
Zinakuja ila ukifungua zinakataaaa
Kwako zilikubali?
Tena wana BahatiKwa hiyo na wewe ulitaka ufungue ujue yaliyomo? π
Acha tabia oza dogo.Tena wana Bahati
Nilikuwa nasoma tu kwa nje nikiscroll
Afu we jamaaaππππ€£π€£Acha tabia oza dogo.
Company kubwa kama JF unawezaje kupeleka product mpya sokoni kabla hawajaitest vya kutosha?Technical huwa vinatokea, kosa kidogo tu kwenye design ya RBAC mambo kama hayo hujitokeza, nili develop app ambayo inatumika nilifanya kosa kidogo baahati nzuri nilikuwa nime lock kwenye back end, so haikuvuja vya kutosha