App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

Umekua muongo muongo kama Lucas Mwashambwa

Mmenisumbua na kimuhemuhe kwenda playstore kudowload halaf nakuta hakuna kitu

Kila jukwaa liwe na moderator wake
 
Hakuna App inaitwa JamiiAfrica. Kama ipo, si yetu.

Hapa upo JamiiForums; ni tofauti na JamiiAfrica.
Nauliza kwakuwa kuna wakati iliandikwa humu kuwa Jamiiforums inabadilishwa kuwa Jamiiafrica

AI Overview




JamiiForums imebadilisha jina na kuwa JamiiAfrica ili kutanua wigo wa huduma zake na kufikia wananchi wengi zaidi barani Afrika. Licha ya mabadiliko haya ya jina la taasisi, jukwaa lenyewe linaendelea kutumia jina lake la zamani la JamiiForums katika shughuli zake za kila siku. [1]

Sababu na Malengo
    • Kutanua wigo wa huduma na ushawishi nje ya Tanzania.
    • Kuimarisha uwajibikaji na upatikanaji wa taarifa sahihi.
    • Kukuza sauti za wananchi kupitia mijadala huru.

Hali Halisi ya Jukwaa
    • Jina la JamiiForums bado linatumika kwenye tovuti na mifumo ya mijadala.
    • Huduma na kanuni za uendeshaji ziko pale pale.
    • Taasisi mama sasa inatambulika rasmi kama JamiiAfrica.
 
Hongera sana Maxence Melo kwa maboresho , hongera pia mkuu kwa kuwa vision mpya kila leo kulingana na mahitaji.
Sija update bado ila kuna kitu nakifikiri kama kinawezekana , kwa mfano ninataka kuona ama kupata mada za 2020 ama 2008 ama 2026 nk..
Kuwe kuna namna ya kupata mada ya tarehe na mwaka fulani kwa urahisi .



Yote ya yote hongera sana na pongezi nyingi kwa maboresho ya kila mara kulingana na nyakati na mahitaji.
 
Nimeipenda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…