1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
Wapitie haya mapungufu wayafanyie kaziKabisa mkuu..video haziplay pia..inbox pako upside down..hii wamewahisha kuiachia kabla ya muda nadhani...nimerudi kwenye website pia..natamani nirudi kwenye app ya zamani ndo imetoka hyo aisee
Naogopa sana kutoa kauli kama hizi, inaweza ukatangulia wewe ulie toa kauli hiiUbarikiwe sana mkuu Kwa kuifanya Tanzania, pamoja na changamoto lukuki unazokutana nazo, sehemu bora ya kuishi.
Mimi nilishawaambia ndugu na marafiki zangu kuwa ni waTanzania 4 tu (walio mbali nami) ndiyo nitahudhuria kwenye mazishi Yao (watakapo aga Dunia):
1. Jaji Joseph Sinde Warioba
2.Jenerali Twaha Ulimwengu
3. Tundu Antipas Lisu
4. Maxence Melo
πππMbona mimi hainipi option ya ku- update au kisimu changu kimepitwa na wakati π
Ile App ya zamani ni bora sana.Mimi hapa. App ile ya kwanza niliipenda sana, kuondolewa kwa ile app ilikuwa sababu mojawapo iliyonifanya nisitumie Jf kwa kipindi kirefu, imechukua muda sana kuizoea hii mpya
Mi nmeamua kurudi ya zamani aise,nmeitafuta APK nimeipata..nimeiondoa hii mpyaIle App ya zamani ni bora sana.
Sahii mkuu,mi nmefanikiwa kurudi kwa App ya zamani..Wapitie haya mapungufu wayafanyie kazi
Hongera mkuu, mie nabak na websiteSahii mkuu,mi nmefanikiwa kurudi kwa App ya zamani..
Ahsante mkuu..sema hawapaswi kuwa wana built app from the scratch..nahisi wangekuwa wanafanya maboresho madogo madogo ya mara kwa mara kwenye App original kulingana na mahitaji na mapendekezo.Hongera mkuu, mie nabak na website
Nahisi wanalijua hilo, ila si unajua tena ku download wanapata pesaπ€,, kaZi na faidaAhsante mkuu..sema hawapaswi kuwa wana built app from the scratch..nahisi wangekuwa wanafanya maboresho madogo madogo ya mara kwa mara kwenye App original kulingana na mahitaji na mapendekezo.
Anha,hilo nilikuwa silijui mkuu.Nahisi wanalijua hilo, ila si unajua tena ku download wanapata pesaπ€,, kaZi na faida
Wakuu,
Nachukua fursa hii kuwafahamisha kuhusu ujio wa App Mpya ya JamiiForums!
Hii sio update ya kawaida, bali tumeisuka upya kuanzia chini. Haya ni baadhi ya mambo mapya (features):
Brand-New Interface (Muonekano Mpya kabisa) - Tume-design app iwe cleaner, faster, na more readable. Tumezingatia suala la mobile-first experience. Kusoma nyuzi (threads) sasa hivi ni rahisi na haichoshi macho. Ukiitumia utaelewa naongelea nini.
View attachment 3647685
View attachment 3647686
View attachment 3647688
JamiiCheck Imerahisishwa - Tumeongeza sehemu maalum (dedicated place) kwa ajili ya mada zote zilizofanyiwa fact-checking. Sasa itakuwa rahisi sana kuziona taarifa zilizochakatwa JamiiCheck.
FichuaUovu Katika Feed Moja - Kwa wale wapigania haki, sasa unaweza kuwasilisha KERO, DOKEZO au HOJA na kufuatilia uwajibikaji wake. Aidha, imekuwa rahisi kuona submissions zote kutoka kwa wadau kwenye feed moja.
Switch Regions (Chagua Nchi Yako)
JamiiForums inakua, hivyo kila tutakapokuwa tunatoa huduma patahitaji kuhudumiwa bila kuingiliana! Sasa unaweza kuchagua nchi yako (Tanzania, Kenya, Rwanda, Uganda, n.k.) na kuona trending discussions zilizo karibu na wewe. Tunalenga kurahisisha mijadala ya eneo flani kujadiliwa kwa lugha wanayotaka bila kuingiliana.
Smoother Threads - Kwenye nyuzi ndefu (huge threads), sasa unaweza ku-jump kwenda kwenye post ya kwanza, ya mwisho, au pale ulipoishia kusoma (last-read post) kwa click moja tu. Pia, replies zitakuwa zina-load automatic kadri unavyo-scroll chini (infinite scroll). Mfumo wa replies umebadilishwa.
Composer Mpya (Eneo la Uandishi limeboreshwa) - Sehemu ya kuandika mada au comments imesukwa upya. Tumeleta rich text editor yenye BBCode inayoendana na App. Ku-format maandishi yako, ku-upload picha (images), na kuweka files sasa ni seamless kwa sasa.
App tayari ipo hewani. Fanyeni ku-update au ku-download, kisha mtupatie feedback. Maoni yenu ni muhimu sana ili tuendelee kuiboresha zaidi.
MSISITIZO: Feedback itasaidia kuondoa kasoro zitakazoianishwa na kuiboresha zaidi App ili iweze kurahisisha upatikanaji na matumizi ya JamiiForums.
Nimepakua, hata sijaielewaUnistall ya zamani afu download, inakuja mpya .... sijui ndo App na Play Store wamechelewa kufanya update isome!
Woow, Thanks for the update and development π€πΏπππWakuu,

Mimi pia sijaona sehemu ya notification kumbe zimewekwa inbox? Natumaini watarekebisha mapema hilo la maandishi kugeukaNimetest lakin sijaizoea, inachanganya notification na inbox, herufi zimegeuka yaan tabu tupu, nmerud website mkuu